Marais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Kenya, Dkt. William Ruto wamekutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kikodi hadi kufikia mwishoni mwa Mei mwaka huu ili kuchechemua biashara baina ya mataifa hayo mawili.
Sheila Mkumba ameandaa taarifa ifuatayo kuhusu mkutano wa viongozi hao.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)