Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kiko tayari kuendelea na mazungumzo na chama cha ACT – Wazalendo kuhusu uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar huku Makamu Mwenyekiti wa CCM – Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi akihimiza mazungumzo hayo yazingatie maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *