Elimu ni ufunguo wa Maisha ndivyo wasemavyo Waswahili lakini elimu pia ina maana ya kutafsiri maarifa uliyonayo ili kujikomboa.
Kutana na Augustine Kashamba mwenye taaluma ya uuguzi na ukunga aliyeamua kutumia elimu binafsi na kuchagua kipawa chake cha uchoraji kujikomboa kimaisha badala ya kutumia taaluma hiyo kujipatia kipato.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)