#HABARI: Bei elekezi ya zao la Pamba Nchini imepanda kutoka shilingi 1,150 kwa kilo moja ya daraja “A” la zao hilo iliyotumika msimu uliopita hadi kufikia shilingi 1,240 kwa msimu huu, huku Balozi wa zao hili Agrey Mwanri akiwaonywa baadhi ya wanunuzi kuacha kuchezesha mizani ili kuwapunja wakulima, na kwamba Serikali itasimamia soko kikamilifu ili mkulima anufaike na jasho lake ikiwemo kupata malipo kwa wakati.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *