#MICHEZO: Dodoma Jiji FC wamepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kurejea kutoka Singida kufuatia ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi ya Young Africans SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Airtel Stadium uliwashuhudia Dodoma Jiji wakionyesha kiwango bora na kuibuka na ushindi muhimu uliowapa furaha mashabiki wao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *