CHE MALONE FONDOH | Alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita… akalikosa….!!

Che Malone Fondoh anacheza tena fainali ya kombe hilo msimu huu akiwa na USM Alger, dhidi ya Zamalek.

Che Malone Fondoh anazungumza na wewe mtanzania akikualika kuishuhudia mechi ya mkondo wa pili, itakayopigwa kesho Mei 16 saa 3:00 usiku na kukufikia LIVE kupitia #AzamSports2HD

Che Malone Fondoh anaahidi kupambana kulipata kombe la hilo kwa ajili ya watanzania pia hasa wale waliokuwa mamshabiki zake…

Ukimsikiliza hapa, kuna mahali anaitaja Mbezi….Je, umeelewa?

Lipia mapema Kisimbuzi chako umshuhudie akibeba ‘ndoo’.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *