#CAFCCFinal USM Alger wanaibuka mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26.
USM Alger kutoka Algeria wanalichukua kombe hilo kwa mara ya pili, baada ya ileeeeeee unayoikumbuka walipolichukua kwa faida ya goli la ugenini; Safari hii ni kwa mikwaju ya penati.
Che Malone Fondoh baada ya kulikosa msimu uliopita akiwa na Simba, msimu huu amelichukua akiwa na USM Alger.
Zamalek wanaumia…. Je, na wewe umeumia
FT: Zamalek 1-0 USM Alger (Agg: 1-1; Pen: 7-8)
Simba vs TRA United ni saa 12:30 jioni LIVE #AzamSports1HD
#CAFCC #CAFConfederationCup #KombelaShirikishoAfrika #USMA #Zamalek #ZamalekUSMA

(Feed generated with FetchRSS)
