Kongamano la Wanawake na Vijana Wajasiriamali Wilayani Nyangh’wale limewakutanisha wadau mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu kuhusu fursa za kiuchumi, uwezeshaji wa biashara pamoja na namna ya kujenga mtandao wa ushirikiano utakaowasaidia kufikia mafanikio.
Kupitia kongamano hilo, washiriki wamepata nafasi ya kujifunza mbinu za ujasiriamali, namna ya kuanzisha na kukuza biashara, kutambua masoko pamoja na kutumia fursa zinazotolewa na taasisi za kifedha na serikali.
(Feed generated with FetchRSS)
