#NBCPL Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah anasema mechi ilikuwa ni kama fainali akiwashukuru Mashujaa kwa kuwapa “game nzuri”, h…#NBCPL Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah anasema mechi ilikuwa ni kama fainali akiwashukuru Mashujaa kwa kuwapa “game nzuri”, h…

#NBCPL Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah anasema mechi ilikuwa ni kama fainali akiwashukuru Mashujaa kwa kuwapa “game nzuri”, huku Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, akichambua kiufundi alichokifanya hadi kupata alama moja ugenini.

Julio anasema kupata alama moja ugenini, na kwa kazi iliyofanyika leo, hana deni kwa wachezaji wake “..siwadai”.

Nyota wa mchezo wa mfungaji wa bao la kusawazisha, Balama Mapinduzi.

FT: Dodoma Jiji 1-1 Mashujaa FC

Coastal Union vs Simba ni saa 12:30 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuyaNBC #NBCUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJiji #MashujaaFC #DodomaJijiMashujaa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *