KUTOKA RWANDA: Ligi ya mpira wa kikapu Afrika, BAL imefunguliwa rasmi leo kwa mkutano wa waandishi wa habari ambapo Ofisa Mtendaji Mkuu wa NBA Africa, Clare Akamanzi amesema Uwanja wa Kigali BK Arena ndiyo utakua uwanja wa kudumu wa Fainali za BAL.
Patrick Nyembera ana taarifa kutoka Rwanda.
Mhariri | @rajjmsangi
#BAL #AzamSports4HD
(Feed generated with FetchRSS)
