Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imefanikiwa kurejesha zaidi ya shilingi milioni 58 zilizokuwa katika hatari ya kupotea na kufujwa kwa njia mbalimbali na mamlaka za serikali pamoja na watumishi wa umma .
Kwamujibu wa mkuu wa Takukuru hapa Mkoani Mara Mohamed sharif amesema Taasisi yake imefanikiwa kuwabana watumishi ambao walihusika moja kwa moja na vitendo hivyo.
(Feed generated with FetchRSS)
