Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mi…Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mi…

Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mikataba ya udhamini.

Hawa ndio wanamichezo 10 wanaolipwa zaidi duniani kwa sasa.

Cristiano Ronaldo – Anaongoza kwa mapato makubwa kupitia soka na matangazo.

Lionel Messi – Nyota huyo anaingiza fedha nyingi kupitia soka na sponsorship deals.

LeBron James – Supastaa wa NBA mwenye mapato makubwa ndani na nje ya mchezo.

Kylian Mbappé – Umaarufu wake umeendelea kuongeza thamani yake duniani.

Neymar Jr – Anaendelea kuvuna fedha nyingi kupitia soka na matangazo.

Stephen Curry – Mmoja wa wachezaji wa NBA wanaolipwa zaidi duniani.

Karim Benzema – Mshahara wake Saudi Arabia umeongeza mapato yake makubwa.

Giannis Antetokounmpo – Nyota wa NBA mwenye mikataba mikubwa ya biashara.

Kevin Durant – Mbali na mpira wa kikapu, ana biashara nyingi binafsi.

Canelo Álvarez – Bondia anayepata fedha nyingi kupitia mapambano makubwa ya ngumi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *