MAMENEJA WAPEWA ‘ONYO’ KUHUSU SERENGETI BOYS

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Mirambo amesema shirikisho hilo halitakuwa tayari kuruhusu vipaji vya vijana wa kikosi cha Serengeti Boys viangukie kwa mameneja au vilabu visivyokuwa na mpango mkakati madhubiti wa kuendeleza vipaji vyao.

Akizungumza na Azam Sporst jijini Rabat nchini Morocco Mirambo amesema tayari wamepokea maombi ya vijana tisa kutoka kwenye vilabu na vituo kadhaa vya kuendeleza vipaji, vikiwahitaji wachezaji hao, na wanatarajia kupitia mipangokazi yao ili kuona endapo inaendana na malengo ya shirikisho hilo.

Serengeti Boys imefuzu kucheza fainali ya AFCONU17 na itakipiga Juni 02 dhidi ya Senegal, LIVE #AzamSports2HD

#SerengetiBoys #AFCONU17 #LinakujaNyumbani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *