Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ limethibitisha kupona kwa mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC tangu kuzuka upya kwa ugonjwa huo.
Mgonjwa huyo tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini na kurejea nyumbani.
MHhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)