Kombe la Dunia linakuja na mambo yake 😇, miongoni mwa jambo lililowavutia mashabiki wengi wa soka siku za hivi karibuni, linamuhusu nyota wa kikosi cha New Zealand @timpayne__ kutoka kutojulikana hadi kuwa miongoni mwa nyota wenye wafuasi wengi mtandaoni akiwa na wafuasi zaidi ya milioni 3 kwenye mtandao wa Instagram.
Usikose kutazama uhondo wa Kombe la Dunia, kuanzia Juni 11, 2026 ndani ya #AzamSports2HD na #AzamSports4HD kwa kifurushi cha 28,000/= tu.
#WorldCup2026 #FIFAWorldCup #WeAre26
(Feed generated with FetchRSS)