#BAL: Hatimae RSSB Tigers kutoka Rwanda ndio mabingwa wa Basketball Africa League mwaka 2026.
Matokeo ni Petro De Luanda 88-90 RSSB Tigers, kwenye mechi ambayo ilikuwa ni ya vuta nikuvute.
RSSR inafundishwa na kocha Mtanzania Herny Mwinuka.
Uhondo ulikuwa LIVE AzamSports4HD.
#BAL #Azamtvsports #BasketballAfrikaLeague

(Feed generated with FetchRSS)