Burudani ya tarumbeta ilikuwa sehemu ya uzinduzi wa Kampeni ya Road To World Cup, mapema leo katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli.
Mechi zote 104 zitaruka mubashara kupitia AzamSports2HD na AzamSports4HD.
Hakikisha kisimbuzi chako tu kina kifurushi ili usipitwe na tukio hili kubwa la Soka duniani.
#AzamTVBurudaniKwaWote

(Feed generated with FetchRSS)