KOMBE LA DUNIAN 2026 | Baada ya familia ya Azam TV kuongezeka kwa wachambuzi wa daraja la kwanza kujiunga nayo kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026, baadhi ya mashabiki wa soka jijini Dar es Salaam wamefurahia ujio huo wakisema watapata burudani ya uhakika.

Mhariri | @rajjmsangi

#FamiliaYaSokaIpoAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *