YANGA SC | Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano za mwisho za Ligi Kuu ya NBC kikianza kuivaa Mashujaa FC Juni 13 mwaka huu katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, ameeleza hali ya kikosi na matarajio yao ya michezo ijayo.
Mhariri | @rajjmsangi
#YangaSC #NBCPL
(Feed generated with FetchRSS)