#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimetoa siku moja kwa Serikali kufungua vituo vya ununuzi wa pamba ambavyo havijafunguliwa hadi sasa ili kuweka mazingira wezeshi ya Mkulima kuuza zao hilo maeneo rasmi nakuweza kunufaika na uzalishaji wake.

Agizo hilo limetolewa na kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Simiyu kupitia Katibu wa itikadi na uenezi, Lumen Mathias baada ya kubaini hadi sasa vituo vya ununuzi havijafunguliwa licha ya msimu kufunguliwa tangu Mei 10, 2026.

“hadi kufikia Mei 6,2026 pamba iwe imeshaanza kuuzwa mkoa wa simiyu ili mkulima aweze kuuza pamba yake kwenye mazingira rasmi yaliyorasmishwa na serikali kwa ajili ya kujipatia kipato.”alisema katibu huyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *