#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Petro Ngata, amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio za SUMA JKT Marathon Juni 7, 2026, ambapo mbio hizo zitafanyika eneo la jengo la JKT House viwanja vya Meddle East Dodoma.

Akizungumza kuelekea mbio hizo Brigedia Jenerali Petro Ngata amesema lengo la mbio hizo ni kugusa afya ya mama na mtoto katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na Makore jijini Dodoma.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *