#HABARI: Mkurugenzi wa Drug Abuse Prevention Org (DAPO) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya Kongamano la East Africa Youth Forum on Drugs 2026 lililofanyika jijini Arusha, Surah Nyembo, amesema jukwaa hilo limewapa vijana nafasi ya kushiriki kikamilifu katika kutafuta suluhisho na kuimarisha juhudi za kuzuia matumizi ya dawa za kulevya.
Kongamano hilo limewakutanisha zaidi ya vijana 200 kutoka nchi mbalimbali kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya dawa za kulevya, kukuza ushirikiano wa kikanda na kuongeza sauti ya vijana katika mapambano hayo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)