Watalii zaidi ya 1,110 kutoka mataifa mbalimbali Duniani wamepata huduma za matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Kaloleni Jijini Arusha, hatua inayotajwa kuwa ishara ya kuimarika kwa ubora wa huduma za afya na kuifanya hospitali hiyo kuwa kituo muhimu cha huduma za kibingwa katika ukanda wa kaskazini mwa nchi.
(Feed generated with FetchRSS)