Katika familia nyingi, ujio wa mama mkwe ndani ya nyumba kwa mtoto wake wa kiume, huibua mjadala mkubwa kuhusu mipaka, heshima, na nafasi za kila mmoja ndani ya ndoa.

Swali linakuja: Mama mkwe anapofika nyumbani kwa mtoto wa kiume, je anatakiwa kufuata utaratibu uliowekwa na mama mwenye nyumba (yaani mke)? Au ni mke anayepaswa kuufuata utaratibu wa mama mkwe?

Na kwa nini iwe hivyo?

Toa maoni yako, tutayasoma na kuyajadili kwenye kipindi chetu cha Kilinge cha Familia, Jumapili saa 1 kamili usiku.

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *