Wakazi wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameipongeza serikali kwa ujenzi wa barabara ya njia nne yenye urefu wa kilometa 1.6 uliofikia asilimia 90 huku uwekaji wa lami ukiwa umeanza katika baadhi ya maeneo. Benson Eustace ametembelea barbara hiyo na kuzungumza na wananchi hao.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *