VIWANJANI: “Ni mechi ambayo itaamuliwa sana uwanjani…”

Mchambuzi wa soka @akingamkono akizungumzia mchezo wa NBC Premier League utakaopigwa Juni 13, 2026 kati ya JKT Tanzania dhidi ya Singida BS.

Kingamkono anaamini mchezo huo utakuwa mgumu na wa ushindani kwa timu zote kutokana na malengo ya timu hizo ya kuwania nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi.

Mwandishi @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani @hassanahmedy_

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *