Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya mazungumzo na Rais wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah Ikulu jijini Dar es Salaam kesho Juni 20, 2026 ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya siku tatu ya Rais huyo wa Namibia.
Dkt. Netumbo ametua nchini leo Juni 19 na kupokelewa na viongozi waandamizi wa serikali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabi Kombo.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)