Watoto wawili, Najma Yusufu na Esther wote wakiwa na umri wa chini ya miaka 10 wanapitia maumivu makubwa kutokana na changamoto za kiafya walizonazo.

Hata hivyo kinachowaumiza zaidi ni uwezo duni wa wazazi wao kubeba gharama za matibabu yao.

Wana changamoto zipi?

Fuatilia.

Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *