Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limesema liko mbioni kufunga sehemu za kuongeza chaji kwenye magari na pikipiki za umeme nchi nzima ili kuongeza fursa za matumizi ya magari yanayotumia nishati safi na gharama nafuu.

Kauli hiyo ya TANESCO imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Lazaro Twange katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *