Nusu Fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho la CRDB inapigwa leo Jumamosi katika dimba la Sheikh Amri Abeid Arusha.
Simba SC dhidi ya Coastal Union.
Mechi hii inachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD.
Je, mnyama ama mangushi nani kwenda fainali?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CRDBFederationCup #Azamtvsports #SisiNiSoka

(Feed generated with FetchRSS)