Familia ya Azam Media Limited imepata pigo la kumpoteza mmoja wa wafanyakazi wake, Wiltrudes Mutembei, aliyekuwa Mhariri Mtendaji Msaidizi wa chaneli ya UTV.
Mutembei amefariki dunia leo wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache tangu arejee nchini akitokea India alikokwenda kwa matibabu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)