Wakati wengi wakihofia panya, Idd Mwita mkazi wa Geita ameona fursa na kuwageuza kuwa chanzo cha kipato kupitia ufugaji wa panya weupe.

Anasema tofauti na mtazamo wa kawaida, panya hao hutumika kwa tafiti na majaribio ya kisayansi, jambo lililomfungulia mlango wa biashara na kipato cha kudumu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *