#KombeLaDunia2026: Mtangazaji @chikolawi anatukumbusha waandishi wa fasihi wa Afrika ambao waliwahi kuandika vitabu vilivyochukua tuzo mbalimbali, lakini hakuna aliyeota kuandika kuhusu hiki tunachokishuhudia kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026, hasa kinachofanywa na mataifa ya Afrika.
70’: Jordan 1-2 Argentina
LIVE #AzamSports4HD
70’: Algeria 2-2 Austria (Belghali 45’, Mahrez 60/ Arnautovic 26’, Sabitzer 55’)
LIVE #AzamSports2HD
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV #JordanVsArgentina #AlgeriaVsAustria @capitalfmkenya
(Feed generated with FetchRSS)