Wamiliki na waendeshaji wa biashara ya nyumba za kulala wageni mkoani Shinyanga wameiomba Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kusambaza kwa wingi vitambulisho hivyo ili wamiliki wanapotumia huduma za nyumba za kulala wageni iwe rahisi kutambulika.

Wito huo umetolewa kufuatia tangazo la NIDA Shinyanga la kuanza kusambaza vitambulisho hivyo kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wameshindwa kuvichukua katika ofisi za watendaji wa kata kutokana na changamoto mbalimbali.

Taarifa ya Kasisi Kosta.

Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *