“…Nitakupa mfano wa Ligi ya Bundesliga.”
Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_ amesema kuwa klabu moja kutawala ligi kwa misimu kadhaa mfululizo haimaanishi kuwa ligi hiyo haina ubora, bali inaonesha namna ligi hiyo ilivyoimarika na jinsi klabu zilivyowekeza kutofautiana na malengo ya timu husika.
✍ @katty_shirima
Mhariri | @rajjmsangi
#morningtrumpet
(Feed generated with FetchRSS)