Wadau wa soka mkoani Mwanza, Fumo Felician na Kessy Mziray kwa kushirikiana na Shule ya Karume iliyopo mkoani Kagera wamepanga kuanzisha Kliniki ya michezo kwa watoto wenye umri wa miaka 6 hadi 12, kwa lengo la kutambua na kulea vipaji vipya vitakavyoendeleza soka nchini.

Kliniki hiyo inatarajiwa kufanyika mwezi Agosti, ambapo inalenga kupata watoto 50 kwa ajili ya kushiriki zoezi hilo la mafunzo ya msingi ya soka.

#Sokaletu

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *