MZIZIMA DERBY | Kila mmoja anatamba kivyake…huku Shabiki wa Azam FC kule Simba SC.

Ni hapa katika Dimba la Gombani, Pemba ikiwa ni kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank itakayopigwa kesho Julai 4,2026.

Ni Simba SC vs Azam FC

Nani kuondoka na Kombe?
Mechi ni saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE kupitia #AzamSports1HD

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 tu unatazama fainali hii.

Imeandaliwa na Rajj Msangi

#CRDBBankFederationCup #MzizimaDerby #SimbaAzam

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *