Wananchi baada ya kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League, Jumamosi hii Julai 04, watafanya Parade la Ubingwa
Parade hii litaanza saa 4:00 asubuhi na kuruka mubashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Parade hili la Ubingwa.
#YangaSC #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)