KARIAKOO DERBY KUPIGWA AGOSTI 12: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu mpya wa wa mwaka 2026/27, utaanza rasmi Agosti 12 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa wa NBC Premier League na Mshindi wa CRDB Bank Federation Cup.

Karia amesema uamuzi wa kuchezwa kwa mchezo mmoja pekee wa Ngao ya Jamii umetokana na mbanano wa ratiba ya mashindano, tofauti na ilivyokuwa awali kwa kuhusisha timu nne.

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#TFF #AzamTvSports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *