KOMBE LA DUNIA 2026 | Hii ni vita ya walinda mlango, Mike Maignan wa Ufaransa na Yassine Bounou wa Morocco.
Nani atakayeruhusu ‘mashuti’ kuingia langoni na nani atakayelinda lango lake?
Ni mchezo wa robo fainali kati ya Ufaransa vs Morocco utakaopigwa kuanzia saa 5:00 usiku LIVE kupitia #AzamSports2HD kwa lugha ya Kiswahili na #AzamSports4HD kwa lugha ya Kiingereza.
Mhariri | @rajjmsangi
#FIFAWorldCup2026 #WorldCup2026 #WeAre26 #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)