Vita kati ya Marekani na Iran vinaendelea kuchukua sura mpya huku mapambano yakihamia kwenye kudhibiti Mlango wa Bahari wa Hormuz ambao ni njia muhimu ya biashara ya mafuta duniani.��
Pande zote mbili zimeshambuliana katika eneo hilo huku kauli za kibabe zikiendelea kutolewa kutoka kila upande.��
Mhariri @moseskwindi
##AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)