USAJILI SIMBA SC: “kutambulishwa kwa mamilioni ya Wanasimba duniani kote”

Mnyama Simba ameunguruma msimu uliopita kwa kuchukua mataji ya Muungano Cup pamoja na CRDB Bank Federation Cup. Sasa anasema kaa tayari kwa kuwajua wachezaji ambao wamewasajili kuelekea msimu ujao.

#Usajili #SimbaSC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *