Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Ahmadiyya duniani Hazrat Mirza Masroo Ahmad, amewataka Waumini wa Jumuiya hiyo kuuishi Uislamu kwa vitendo kwa kujawa na hofu ya Mungu kwa imani na utii ili kuwa mfano bora bora kwa wengine.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *