#MEZAHURU: “…zipo za nchi mbalimbali ‘ pamoja na vyuo mbalimbali pamoja na vyazo sahihi vya sehemu vya sehemu ambazo unataka kwenda kupata huo ufadhili mfano kuna balozi wa Ufaransa, kuna Ubalozi wa Urusi kwa hiyo kwa kupitia kwenye zile balozi ukifika moja kwa moja au kwenye tovuti zao wanakuwa wameweka hizo fursa,” Jeniffer Mteleke–Balozi wa Kuhamasisha Wanafunzi.