#TANZIA: Golkipa wa zamani wa Yanga SC na Taifa Stars, Peter Manyika, amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya St. Monica, jijini Dar es Salaam.
.
Enzi za uhai wake, Manyika aliitumikia soka la Tanzania kama kocha wa Magolikipa katika klabu za Yanga, Ihefu FC, Fountain Gate, pamoja na timu mbalimbali za Taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *