Wakazi wa kijiji cha Nambinzo wilayani Mbozi mkoani Songwe wamelazimika kutoa machozi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la kudumu wakidai kuwa adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi huo imesababisha baadhi ya ndugu zao kufariki kwa kuchelewa kupata huduma kutokana na ubovu wa njia.

Joyce Lyanda amezungumza nao.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates #UTV108

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *