#HABARI: Mahakama ya Hakimu mkazi Kivukoni, Kinondoni imetaifisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa limebeba Magendo, baada ya vijana wanne kukiri kukwepa kodi ya shilingi Milioni 125.5 na kuchepusha vifaa vya magari, badala ya kuvipeleka nchini Congo wakavipeleka eneo la Mikocheni, Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania