“…..suala la marekebisho ya katiba ambalo ni mojawapo ya ahadi ya Chama Cha Mapinduzi…..Mheshimiwa Rais alisisitiza kuwa Serikali itafanyia kazi suala hili, kwa kuanza kwanza na kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani, yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu, na kufuatiwa na kuunda Tume ya usuluhishi na maelewano na kuanzisha mazungumzo ya maridhiano na upatanishi……”-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania