Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na MarekaniIran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani



Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini Zagreb, Croatia kwa kunyakua jumla ya medali tano na kulitwaa taji hilo kabla ya muda wa mashindano kumalizika.



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *