Kiongozi wa upinzani aliyewahi uwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefikishwa mahakamani Jumatatu 22.09.2025. Machar anakabiliwa na mashtaka kadhaa yakiwemo uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhaini. Post navigation Riek Machar afikishwa mahakamani Juba Urusi, Ukraine zashambuliana usiku kucha